Mwanamke ft. Isha Mashauzi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mwanamke ft. Isha Mashauzi - Stamina (TZ)
...
Waa...
Queen of the best Melody
Na shorobwez this One
Wamemchokoza Bea!!
is moro town in the House
Umepewa kichwa na akili ili uweze kufikiri, Mambo ya kifamilia na heshima ya kujisitiri.
ili baraka zako zote ziwe Dili japo hauna kifua unajua kutunza Siri Aaa
Ulipewa mdomo sio ili uniseme Vibaya, ila unipe somo pale tu unapopwaya
Dharau chuki na Hasira sio vitu ulivyoumbiwa,
Hata sikio ulilonalo sio la maneno ya kuambiwa.
Neno mama lina maana ya Dunia, Mungu angetuumba nyuki ningekupa sifa ya malkia.
Maishani we ni veto umenifunza kila kitu, umenipa leseni ya maisha ninayoendesha kila siku.
Uwe chizi kilema bubu huwezi sema kiziwi hata kipofu kwangu yote Mema,
Unasifa.. zile zote za mwanamke, na leo natang'aza Dunia nzima ziskike
Wapekee Mungu aloumba Duniaa..
Wapili ni mama yangu kipenzi alonileaa..
Hizi shukurani zangu pokeaa..
Nisingejua ulimwengu kama usingenizaa..
ulivyo jasiri umenitunza miezi Tisa nikawa hapa ungeweza kutoa mimba.
Hata kama ni nyumba ndogo wa baba haishushi heshima, utabaki kua mzazi sijihesabu ka yatima.
Huonekani kumbi za starehe.. Na tarehe mshahara unapotoka matumizi ka mparee.
Fasta ka mshalee benk machalee, mbwembwe za masaki we unafanya Tandalee.
Biblia imeandika kua utazaa kwa uchungu, Pole mama hayo mambo tumwachie Mungu
Hata kama ni mgumba mtoto wa mwezio ni wako, kwa hiyo ukiona anayumba mrekebishe kama wako.
Uwe chizi kilema, bubu huwezi sema kiziwi hata kipofu kwangu yote Mema,
Unasifa.. zile zote za mwanamke, na leo natang'aza Dunia nzima ziskike
Wapekee Mungu aloumba Duniaa..
Wapili ni mama yangu kipchoyoalonileaa..
Hizi shukurani zangu pokeaa..
Nisingejua ulimwengu kama usingenilea..
Uko radhi uzalilike, nisitirike mi Mwanao
Mabaya yasinifike, Visa na wenye roho za choyo
Uko radhi uzalilike, nisitirike mi Mwanao
Mabaya yasinikute, Visa na wenye roho za choyo
...................................................
lyrics by Jacktons