Yule ft. Saraphina Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Yule ft. Saraphina - Stamina (TZ)
...
Alright
Smart sound records
Yule yule yule yule
Verse 1
Aah basi usiombe hela ya kucha ubandike mkononi, naomba uniombe picha unibandike moyoni
Nachokumbuka tu kwa ex ni kile kiuno kigumu, labda na ile siku alivyoniwekea sumu
Na sikufichi mama, acha niseme umeniweza, wakitaka uniteme we ndio kwanza unanimeza
You are my sweet mamy angel, sweet mama mjengo, yaani sweet wama sweet
kwenye usweet wa mapendo
Okay wewe ndio Remote controller wakizima unaniwasha bila umeme kama solar
Halafu na una icho kiuno dondora utasema Mungu baba huko mbinguni alikuchora
Relax mama halafu be humble hata wakija wavuvi wambie umevutiwa na chambo
Usiwasikilize mawifi na mashosti wana vijembe, mapenzi ni mchuzi wa moto acha nzi walete mbwembwe........
Chorus
Siwazi kukumiza mi sina pa kwenda
Umenituliza nifanye unavyopenda
You are my only one, wanga watukomee
Nilivyobutu kwako sina agenda
Nitamdhuru yeyote yule, yeyote yule
Nitamdhuru yeyote yule, yeyote yule
Verse 2
Aaah
Ndio maana ukiniita huwa na come kiujuzi Penzi lako guitar so chunga nisikate nyuzi
Halafu nikikupa muhindi kula mpaka gunzi gheto ukikatika umeme acha kiuno kiwe fyuzi
Nikipiga simu naomba nikupate kwenye line line, twende sehemu twende tunywe hayo ma wine wine
Tukitoka mtoko naomba basi u shine shine
Fujo kwa wanoko wajione wao ma swine swine
Unataka nini ili isitekwe na matozi
unataka kunichuna basi njoo nikupe ngozi
Twende kwa wazazi hili penzi wali bless
Nina vingi vya kukupa kwa nini nikupe stess
Ukipiga kofi shavu la kushoto, nitatulia sitalia nitachofanya nitakupa na kulia
Hata wakiniona bwege, relax tatizo nini
Maana ikifeli figo me nitatoa hadimaini
Chorus
Siwazikukumiza mi sina pa kwenda
Umenituliza nifanye unavyopenda
You are my only one, wanga watukomee
Nilivyobutu kwako sina agenda
Nitamdhuru yeyote yule, yeyote yule
Nitamdhuru yeyote yule, yeyote yule
Ona nitawaka moto balaa usithubutu kinipande kichaa
navyokuthamimj nitakufa juu yako wewe
Nitamdhuru yeyote yule, yeyote yule
Nitamdhuru yeyote yule, yeyote yule
Yoyote,, yoyote yule.
...................
Lyrics by Diana Gadson..