![Nitakukumbuka ft. Kayumba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/26/466e8903bff7465ab9aa6182882bee2b_464_464.jpg)
Nitakukumbuka ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitakukumbuka ft. Kayumba - Stamina (TZ)
...
KAYUMBA
Aaaa..
Mhh....
Ule msemo wa kukua uone.., kwel mamaa..
Nimeyaona kwel Dunia Hadaa..
Niliyoyashinda yanahitaji ushujaa..
Nami mwana bado napambana mama..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka kila siku..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku...
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku.
STAMINA
Mama mama mama, Nimekwita mara tatu
Ningepewa uwezo Ungefufuka toka Wafu
Ninachokumbuka Baba alikupenda pengine,
Mama tangu uondoka naye hajaoa mke mwengine
Nimepia vingi nimekua Star mamy,
na nchi imeandika Story mana Presidar ni woman
Nakumbuka ulikua na ndoto ya kuwa raisi wa nchi hii
Namchukia Israel kwa kukatisha ndoto hii
Mama alafu ulijua kuna ndugu wanafki,
hawakuja kukuzika na hawakusema wako wapi.
Nimeona wajomba na mama wadogo kazaa,
ila shost wako bwana hakuja alikesha Bar
Uliniambia nioe Unakumbuka si ndio?,
Nilioa mama tena kwa shangwe na mapambio.
Yalitokea mazito mazito na yenye vilio,
Ila saiv una mkwe mwengine na mjukuu anaitwa Lio
Ule msemo wa kukua uone.., kwel mamaa..
Nimeyaona kwel Dunia Hadaa..
Niliyoyashinda yanahitaji ushujaa..
Nami mwana bado napambana mama..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka kila siku..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku...
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku.
We mamaaa....
Aaa, Ndoto ya kabumbu kusakata hiyo kwangu ilikua Dili
Sikupata nilichotaka nimepata nilichostahili
Hii Dunia wajuaji yenye mengi makelele,
Nayo ukipanda mnazi ukae siti ya mbele.
Nimekumbuka kipindi nikilia unaninyonyesha,
nikichafuka Fasta mama unaniogesha.
Vipande vya vitenge ya zile nepi za kuegesha
lile ni vazi la afya nashukuru mama ulinivesha mama
I cry for You, I love you
hataka kama kufa I will Die for you
Sijapata kitu mpaka leo nipo choka
mi kivuli kilichopinda kwenye mti ulionyooka
Wanasema Marehem anakua karibu na Mungu,
Mwambie basi anipe Hela nahitaj hilo Fungu
Kuna mama mwenye nyumba na mama ambae ni mchumba
ila wote mama wadogo, Mkubwa mama aliyeniumba
Ule msemo wa kukua uone.., kwel mamaa..
Nimeyaona kwel Dunia Hadaa..
Niliyoyashinda yanahitaji ushujaa..
Nami mwana bado napambana mama..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka kila siku..
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku...
Nitakukumbuka Daima..
Nitakukumbuka Kila siku.
we mamaaa....
mamaa...
aaaaaa...
eeeh mamaaa
we mamaaa
Thank you (Jacktons)