Future Wife ft. Mkwawa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Future Wife ft. Mkwawa - Stamina (TZ)
...
Kama unaniona jitokeze, Kama unanisikia jitokeze.
Kama unaniona jitokeze, Kama unanisikia jitokeze.
future future future wife
future future future wife
future future future wife kama unanickia jitokeze
dear future wife hata cjui uko wapi
upo na Nani anae kula hizo malighafi
Leo nimeona nikimbie, labda utaacha unachofanya huu wimbo uusikie
skia, kwanini unaniumiza kichwa,
kwanini Kama upo unajificha,
huoni kama unanipotezea muda
Leo huyu kesho yule Kama upo c ungekuja.
halafu, hivi uliye Nate anakutunza, au yemwenyewe ni njuka nae bado anajifunza,
au marioo Kama utumbo kutwa ndani
au wapaka mikongo wanakutesa kitandani
nambie, anakupa hela ya kusuka,
au manywele timtim haueleweki Kama msyuka, au ngozi ngumu dada hupewi hata loshen,
au upo na kibabu mstafu mnakula penshen
nambie, hebu nambie upo wapi, upo uswahilin au upo masaki,
mwanamke Bora et anatoka kwa bwana,
af bwana mwenyewe ni mimi hebu fanya fasta mama.
Kama unaniona jitokeze, Kama unanisikia jitokeze,
Kama unaniona jitokeze, Kama unanisikia jitokeze,
future future future wife
future future future wife
future future future wife Kama unanisikia jitokeze.
ila Kuna muda naona uchelewe kidogo, Mambo yenyew magumu pesa inanipa kisogo.
maana nawaza ukija utakula nini, au tukikosa chakula utashiba ukinila Mimi.
hata ukija, ucje na picha kuwa nna hela, kipato kidogo ila nnaweza nunua dela,
mama mama nipo kwa machela,
na mahusiano yaliyo pita yote yamegonga besela,
Kama upo na kibopa endelea nae cto weza, hiyo dozi ni kubwa kichwa panzi cto meza
hivi upo hapa town, au huko bush bush,
unakipin, una tatoo, unakula makushi kush.
na so kisa bodaboda usizan sihitaji wife,
nahitaj wife ila tatizo ni life.
kipande Cha elfu kumi, hakitoshi bora ukadange
sa ntakulisha Nini zaida ya ugali na makande
afu kwa uhandsome upi mbaka adate na mim
walomdatisha wengi Mimi ni data ya chini
ila mwanangu ee, ulie kuwa na mke wangu hebu mkache, anashindwa kuja kwangu inatosha hebu muache,
Kama unaniona jitokeze Kama unanisikia jitokeze
Kama unaniona jitokeze, Kama unanisikia jitokeze
future future future wife
future future future wife
future future future wife Kama unanisikia jitokeze
hebu jitokeze jitokeze
hebu nionyeshe nionyeshe
hebu jitokeze eeee mbele za watu