![Paradiso ft. Marissa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/26/466e8903bff7465ab9aa6182882bee2b_464_464.jpg)
Paradiso ft. Marissa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Paradiso ft. Marissa - Stamina (TZ)
...
tuonane paradiso x2
jana
Aaaaah
tuonaneeeee
najua wengi mnaumia mkiwa hoi maututi kila nafsi niulimi lazima itaonja mauti wengi wenu da mnalia kinafsi kudadeki mnasahau kwamba mshahara wa dhambi haulipwi benki najua mkowengi msibani