Sadaka ft. Mkwawa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Sadaka ft. Mkwawa - Stamina (TZ)
...
( Eeeeh toa ndugu anakuona) x2
Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh, eeh
STAMINA
Kama nina nguvu ya kutafuta, siwezi ita mtu Tajiri
Utajiri sio kipaji ni kazi nguvu na Akili
Tatizo mtipata pesa mnapoteza marafiki,
afu mnapata wapambe ambao hatukua nao kwenye Dhiki
Neno la ufahamu ni lile neno lenye Elimu,
ila neno lenye utamu ni lile lililotiwa ndimu
Japo wengi hawafahamu tofauti ya hamu na stimu
kama ilo tofauti ya maarifa na Elimu.
Kipindi unamtongoza Demu ili uonekane mjanja, mi namtongoza Dalali ili nipate kiwanja
Alafu sasa ukipaka mkongo ili umkomoe Mchumba,
mwezako nipo Site ndo naipaka rangi nyumba eeh!
Tusibishane kuhusu hili!
kuna vichwa viwili,
ila cha chini hakifikiri
Mwanaume aliye vyaa vikuku
aliyetoboa maskio na pua
huyo mwanaume si hatuhusu, sio mwanaume tunayemjua
Maskini wengi tuna ndoto za utajir kichizi, Hazitimii sababu tunastuka katikati ya Usingizi.
Hatujakuzwa kuamshwa na alarm ili tuamke, Tunaamshwaga na shida ili tuamke tukatafute.
Toa ndugu toa, toa ulicho nacho
Bwana anakuona, mpaka moyoni mwako.
STAMINA
Acha nikwambie kuna urithibwa aina mbili, Kuna urithi wa mali na ule urithi wa akili
Urithi nawa mali utakupa mali za utajiri, ila urithi wa Akili unaweza usikupe Akili za utaji.
Na kweny maisha, Maisha haishi sababu yako, Ila we ndo unasababu ya kuishi kivyako.
So kabla ya kuvuta Ganja hakikisha unavuta pumzi, ma pesa ni mwanamke ambae habaki kama humtunzi.
Na kwenye ukoo sina Ndugu yoyote tajiri, Na kama yupo basi lazima awe mbahili.
Mungu anabless ado ado najikongoja, na getto nikiishiwa Gess nawasha nawasha Data naunga mboga.
Mama angu pekee ndo mwanamke ninayemwamini,
japo nae alitubuniwa ndo nikapatikana mm.
pisi kwa wanawake wote wenye kima cha chini na juu,
nawapa mimba za fikra msimeze P2.
Mambo madogo dogo hayo ntawapa haina kwere,
Siwez kuwapa nyumba labda nyumba za milele.
Na kuhusu kupush mtapush mkipata Mimba.
kwahiyo ni uzushi nikisema nitapush ujinga.
Toa ndugu toa, toa ulivho nacho.
Bwana anakuona, mpaka kwenye moyo wako
Usifanye moyo wako kua mgumu wewe
Toa ulicho nacho bwana anakuona
eeeh, eeeh, eeh, eeh, eeh