
Umewakomesha Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Umewakomesha - Christina Shusho
...
lyric sync by Phellow 254790511905
umewakomesha
umejua kuwakomesha
umewakomesha
umejua kuwakomesha
umewakomesha
umejua kuwakomesha
lile shimo walilochimba ili wanitumbukize mie
ah! do! salale!
wametumbukia wenyewe
na ile mitego waliyoitega ili waninase mie
Baba yangu wee
ona imewanasa wenyewe
na ile sanda waliyoishona kwa siri wanivike mie
bomba sasa limegeuka limewavika wenyewe
yule mganga ml'omwendea ili aniroge mie
sasa bomba limemwagika mnapiga chafya wenyewe
walitaka nipotee
walitaka niangamie
hebu ngoja niwataje
ila wacha nipotezee
wacha nifunike kombe
mwanaharamu apite
walitaka nipotee
walitaka wanimalize
wewe Baba
usiwaache wafanikiwe
wewe Mungu
usiwache wajisifie juu yangu
nimeona Baba yangu
umewakomesha
nimeona Baba yangu
nimewanyosha wee
nimeona Baba yangu
umewakomesha
nimeona Mungu wangu
umewakomesha umejua kunifurahisha
umewakomesha
umejua kuwakomesha
umewakomesha
umejua kuwakomesha
umewakomesha
umejua kuwakomesha
endelea kudunda
****talking in Vernacular*****
twende nalo
umenibeba
hata watesi wangejipanga
umenibeba ah
hata kama wabebe marungu
umenibeba ah
******
viganjani mwako niko salama
umenibeba ah
Yesu unanibembeleza
umenibeba ah...
umenichora kwenye viganja
umenibeba
umenikumbatia unanibembeleza
Yesu unanikumbatia
kama mwana kwa mgongo oh
umenibeba ah
acha nami nichekelee umenibeba ah
kama mwana kwa mgongo
umenibeba ah
wacha nami nichekelee
umenibeba
lyric sync by Phellow 254790511905
You are blessed because you came