
Wewe Ni Mwema
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Wewe Ni Mwema - Rose Muhando
...
Tuimbe fadhili tukilala na kuamka! Tuimbe eeehaa Fadhili tukilala na kuamka eehwoyoyoyooyooo fadhili tukilala na kuamka wewe ni weeee aaah wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa baba ni mwema wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa Yesu ni mwema wastahili sifa .. ningekua na mabawa ningeruka juu sana niungane na jeshi la malaika tukusifu kama Ayala ningekwenda mbali sana niwaambie wanyama wa mwituni unatawala ah nimeyakumbusha mawe habari ya matendo yako wakasemamfalme uishiye unatawala. nami kama kerubi nitaruka juu sana nikung'ute mbawa zangu niseme unatawala wewe ni mwema wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa aaaa yesu ni mwema wastahili sifa .. Hallelujah amen amen amen amen Hallelujah amen tukilala na kuamka usifiwe amen amen amen Hallelujah amen tukilala na kuamka Hallelujah amen amen amen Hallelujah amen tukilala na kuamka wewe ni weee ahhh wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa mwenye nguvu weee mwenye mamlaka wewe uishi milele eeeh Ebenezer wewe wewe mfariji wewe tabibu wa karibu wewe uishi milele ahhh wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa .... ..... .... .... ..... ..... .... ..... ....wewe ni weeee aaaah wastahili sifa wewe ni mwema (yesu wee) wastahili sifa wewe ni mwema wastahili sifa baba ni mwema wastahili sifa
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Wewe Ni Mwema MP3 song. Wewe Ni Mwema song from album Secret Agenda is released in 2022. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Wewe Ni Mwema, Wewe Ni Mwema song, Wewe Ni Mwema MP3 song, Wewe Ni Mwema MP3, download Wewe Ni Mwema song, Wewe Ni Mwema song, Secret Agenda Wewe Ni Mwema song, Wewe Ni Mwema song by Rose Muhando, Wewe Ni Mwema song download, download Wewe Ni Mwema MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Brayan Robson
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Phellow
this song is very sweet
Phellow
[0x1f630]
Togolamama9
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
gf okay