![Sitanyamaza](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/6E/EB/rBEehl2a7GqAdzC9AACV4wdYwj0369.jpg)
Sitanyamaza
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Sitanyamaza - Rose Muhando
...
Eeeeeh, Mimi mungu Kwa tiro nitalia Kwa zioni nitaomboleza sodoma nitanung'unika mipakani nitashambulia mijini wameniacha hilo bwana nitashambulia maisha ya wanadamu yamenichoshaaa,
hoooh! hoooh! Mimiiiii, sitanyamazaa wala sitanyamaza lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao, maovu yenu nyinyi pamoja na Baba zenu, iyoo leleeh, na sasa nitalipa chuki ???? ni mengi bwana,nimekukiza uvumba na kunitukanaaa, Kwa ajili ya hayo mtajutia Kwa kizazi chenu, sitanyamazaa wala sitanyamazaa, lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao, mwao maovu yenu ninyi pamoja na Baba zenu, na sasa nitalipa chuki ?? ni mengi bwana, mmechukiza uvumba na kunitukanaaa, Kwa ajili ya hayo mtajutia Kwa kizazi chenu.
mmmefaanya uzinzi katikati ya milima,usikuuuu wa manane mmefanya ukahaba,kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano, kwenye njiani na mipera mmefanya machukizoooo,
(ulitumaini uzuri wako, ukafanya ukahaba,kila kijana aliye pita ulimwona anafaa, awe mzuri na Sura mbaya ulifunua marinda ×2) , (wako wapiii wapenzi wako onasasa unakondaa ×4).
(miji mizuri imekua ukiwa, majumba mazuri yamefungwa kabisaaa, wana wa wana wamebaki yatima,kiburi chako ??? kabisaa ×2)
(Hebu sasa piga kelele ulie kahabaa, shika kinumbi piga kelele omboleza upate kukumbukaaa ×2)
see lyrics >>Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Sitanyamaza MP3 song. Sitanyamaza song from album Rose Muhando Singles is released in 2017. The duration of song is 00:08:24. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Sitanyamaza, Sitanyamaza song, Sitanyamaza MP3 song, Sitanyamaza MP3, download Sitanyamaza song, Sitanyamaza song, Rose Muhando Singles Sitanyamaza song, Sitanyamaza song by Rose Muhando, Sitanyamaza song download, download Sitanyamaza MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
thamraa
vusieka
Kenya, love this song
Phellow
when ROSE sings it is something else
Queen mahwatam7pn3
appreciated
Rabison Justo
ngom ya dunia
Kabasinguzi Grâcec3q4m
i like this song bambi
Joseph Ndogoto
Huu wimbo unauwezo wakuokowa roho zilizo poteya
Joshua Obonyofo9ri
yaaaa tamu
luwisa l mbiki
[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f630]
Heri Paul
bb hh bh bb bb vb bh bh bh vh vb bh
josephinecs7mt
2019/12
i loves the song