
Unastahili Kuabudiwa
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2004
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Unastahili Kuabudiwa - Upendo Nkone
...
Ooh haleluya
Tunakusifu Mungu wetu
Wewe umeumba mbingu na nchi
Vile vinavoonekana na visivo onekana
Mito ndege wanyama na vitu vingi
Ukatuumba wanadamu kwa mfano wako wewe Mungu
Umetupa akili na katika hayo tunakusifu na kukuinua na ndio maana na mimi leo ninasema unastahili eeeh bwana haleluya
Mungu wetu tunakusifu
Mungu wetu twakuinua
Yale uyatendao makuu mno
see lyrics >>Similar Songs
More from Upendo Nkone
Listen to Upendo Nkone Unastahili Kuabudiwa MP3 song. Unastahili Kuabudiwa song from album Hapa Nilipo is released in 2004. The duration of song is 00:08:08. The song is sung by Upendo Nkone.
Related Tags: Unastahili Kuabudiwa, Unastahili Kuabudiwa song, Unastahili Kuabudiwa MP3 song, Unastahili Kuabudiwa MP3, download Unastahili Kuabudiwa song, Unastahili Kuabudiwa song, Hapa Nilipo Unastahili Kuabudiwa song, Unastahili Kuabudiwa song by Upendo Nkone, Unastahili Kuabudiwa song download, download Unastahili Kuabudiwa MP3 song
Comments (27)
New Comments(27)
Consolathaassey
Alice46gux
[0x1f641] fav song
~Mr_headlights
Haufananishwi na chochote Mungu
Pixar v7c2l
hakika Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi
Mopaov4hmh
Nyimbo inanifanya nibarikiwe kila saa na kila wakatii una stahilii mungu wetu
vanvicky89
[0x1f60e][0x1f60e]unastahili kuabudiwa Yesu wewe peke yako, wimbo unabariki roho yangu .
Esthervnreb
milele uinuliwe Mungu yale umenitendea havielezeki yehovah congrats mama nkone
Joëlxm4xq
congo ,nakupenda sana mama nkone
Mildred rwu50
it's so powerful and purely Word of God
Simon Maiyania59r5
Great!
EDDObuld2
awesome
elisha emmanuelbyu8t
powerful
Abiudi