Simba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Simba - Rose Muhando
...
Simba lololol,Simba anaunguruma,Simba lelelele,Simba anaunguruma ,Simba wa kike anaunguruma Leo,simba anaunguruma,Simba nyikani anaunguruma wowowo Simba anaunguruma, Simba porini anaunguruma Leo,Simba anaunguruma
mwambieni yule mbeha,nimerudi kutoka jangwani, nimesimama Tena kwenye zamu yangu
wapeni habari wale mbwa ,hii so bahati mbaya,mbingu ,imeniamini mungu amenidhibitisha
mpe yezebeli nimerudi kutoka jangwani nimesimama Tena kwenye zamu yangu wapeni habari wale mbwaaaa hii so bahati mbaya mbingu imeniamini mungu amenidhibitisha yeyelelelele Simba anaunguruma Simba lololol Simba anaunguruma Simba lelelele Simba anaunguruma Simba anaunguruma Simba anaunguruma
Mimi Simba wa kike,kuinania asili yangu,nitawinda popote nitangueuma popotembele ya mnyama wowote kwenye pori lolotekatika nyakatizote sitaogopa chochote sitanyamaza mpaka mungu atakapo jitwalia utukufuuuuuu
jeuri la maringo yangu mimi n mungu wangu simbaangu, kumcha mungu ndio jeuri yangu, kumcha bwana ndio fahari yangu,kumjua mungu ndio jeuri yangu
simbaaaaa lelelele,mawindoni Niko mawindoni Simba anaunguruma Simba Leo nko mawindoni simbaaeeee Simba wa kike anaunguruma Leo mawindoni Simba oooo Niko mawindoni Simba wa kike hodari katikati ya mawindoni nitatenda kwa akili kuyafimbua mafumboo nitangueuma alfajiri jioni niletee mawindoni sitanyamaza mpaka mungu atakapo jitwalia utukufuuuuuu