Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2009

Lyrics

Nibebe - Rose Muhando

...

Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama E mungu angalia kunena kwangu, Na usikie sauti ya kilio changu Moyo wangu umechoka sana baba, Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu Nafsi yangu imegandamana na mavumbi Niokoe mikononi mwa midomo ya mbwa Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga Niokoe mikononi mwa watu wabaya fanya hima unisaidie nibebe Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nimechoka peke yangu Safari ngumu no ndefu nibebe Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Macho yangu yamedhoofukwa machozi Kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani Kwa kuwa aliyenitukana siye adui yangu bali ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana Tulikula pamoja, tulisali pamoja, kanisani pamoja Bwana asifiwe kwa sana Kumbe mwenzangu alikusudia kuniangamiza Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Hata nliowasaidia nao wamenishuhudia uongo Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Wengine wakinibeba nitaambulia matatizo, yesu nibebe Dunia ikinibeba itanipeleka jehanamu, yesu nibebe Marafiki wakinibeba watanipeleka pabaya, yesu nibebe Baba nibebe, yesu nibebe, Nibembeleze nibebe, nichukue mbinguni salama Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nimechoka pekee yangu safari ngumu siwezi Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nifike mbinguni nimwone Eliya (Amen) Nifike mbinguni nimwone Yakobo (Amen) Pamoja na kiti cha enzi mbinguni kwa baba(Amen) Kwa njia za dhahabu nami nakatembelee(Amen) O baba nibebe, yesu nibebe, Nibembeleze nibebe, nichukue mbinguni salama Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nakwita Yesu unibebe mwokozi Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nifike mbinguni nikamwone baba (Amen) Nifike mbinguni nakapumzike (Amen) Katika kiti cha enzi nami nikasujudie (Amen) Niwaone wenzangu wale walionitangulia (Amen) Nikale matunda ya mti wa uzima (Amen) Yesu nibebe, baba nibebe, Nibembeleze nibebe nichukue mbiguni salama Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nimechoka pekee yangu dunia ngumu pekee yangu siwezi Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nimechoka pekee yangu safari ngumu ni ndefu siwezi Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nibebe nibebe nibebe nibebe Nibembeleze nibebe, eh Yesu unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status