
Kama Mbaya Mbaya
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kama Mbaya Mbaya - Rose Muhando
...
by Phellow Mmbuni kama mbaya mbaya wacha iwe mbaya tuliwatendea mema wakatulipa mabaya kama mbaya mbaya wacha iwe mbaya tuliwatendea wema wakatulipa mabaya kama mbwai mbwai wacha iwe mbwai tulioona wa maana kumbe hawafai kama mbaya mbaaya wacha iwe mbaya tuliwaona wa maana kumbe hawafai walitunywesha kikombe cha uchungu na maumivu makali wakachukua nafsi zetu wakazigonga misumari walitunywesha kikombe cha uchungu na maumivu makali wakatwaa nafsi zetu wakazigonga misumari sasa wameyakanyaga wacha Mungu ashughulike nao wamevavanya wacha mbingu zihangaike nao wameyakanyaga wacha Mungu ashughulike nao wamevavanya wacha mbingu zishughulike nao kama mbaya mbaya wacha iwe mbaya kama mbaya mbaya wacha iwe mbaya tulitenda mema wakatulipa mabaya kama mbaya mbaya wacha iwe mbaya tulitenda mema wakatulipa mabaya sasa wameyakanyaga wacha mungu ahangaike nao wameyavavanya wacha mbingu zishughulike wameyakanyaga wacha Mungu ahangaike nao wameyavavanya wacha mbingu zishughulike meeeeeene mene mene mene mene mene meneee eeeehee tekeli peresi kiganja kimeandika fukuza upesi mkono umeandika fukuza upesi kwenye mawe kimeandika fukuza upesi ukutani kimeandika watoke upesi ofisini kimeandika rarua upesi kwa wafalme kimeandika komesha kabisa kwa wakuu kimeandika rarua upesi kwa wenye nguvu kimeandika komesha kabisa meeeeeeeeeeeeene mene mene mene mene mene mene imeandikwaaa mene tekeli pelesi fukuza upesi porini wawe kama fisi wakale manyasi mene tekeli pelesi fukuza upesi porini wawe kama fisi wakale manyasi wapigwe wapigwe wawe kama fisi wapigwe wapigwe wakose nafasi wapigwe wapigwe wawe kama fisi wapigwe wapigwe wakose nafasi kanyaga*5 one two three kanyaga*5 ah twende sasa kanyaga*5 aaaah kanyaga*5 .... .... ... kanyaga*5 ihiii geuka kushoto kanyaga*5 hey twende kulia kanyaga*5 one two three kanyaga*5 hee hee geuka kushoto kanyaga*5 ahhrrrr geuka kulia kanyaga *5 hey nyuma geuka kanyaga*5
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Kama Mbaya Mbaya MP3 song. Kama Mbaya Mbaya song from album Secret Agenda is released in 2022. The duration of song is 00:04:37. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Kama Mbaya Mbaya, Kama Mbaya Mbaya song, Kama Mbaya Mbaya MP3 song, Kama Mbaya Mbaya MP3, download Kama Mbaya Mbaya song, Kama Mbaya Mbaya song, Secret Agenda Kama Mbaya Mbaya song, Kama Mbaya Mbaya song by Rose Muhando, Kama Mbaya Mbaya song download, download Kama Mbaya Mbaya MP3 song
Comments (51)
Top Comments (2)
Minister kilangiih
samwellazaro
[0x1f604][0x1f604][0x1f604]huu wimbo n mzur saana unafundisha saana daah wameyakanyaga acha mungu ashughulike>
New Comments(51)
Phellow
kanyaga
169210113
[0x1f601]
Phellow
Rose
Phellow
sasa wameyakanyaga
Phellow
wapigwe
Phellow
my song
Phellow
[0x1f602][0x1f63f]
Phellow
kanyaga
Phellow
what a song
Phellow
mamaaa
Phellow
[0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b]
Phellow
comments zote ziwe zangu sijali mimi
Kama mbaya mbaya[0x1f628]>