Tamalaki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2011
Lyrics
Tamalaki - Rose Muhando
...
Ee Bwana umetamalaki , Dunia Yote ishangiliee
Nani kama Wewe ee!hee
Mbingu za hubiri UTUKUFU wa JINA LAKO
Na sifa zako Oooh!Eeh! Uinuliwe Eeh e!
Sifa zako zimepita mpaka chini ya vilindi vya Bahari Eeh!..UABUDIWE ehee!
Yale maji yalipokuwa na Bahari ya Shamu yalipisha njia Eeh! UINULIWE ehee! MATAIFA waliposikia habari zako , WALITETEMEKA E.. yeh!Aleluya BABA . UABUDIWE EHEE!
WAFALME WALIPOYAONA MATENDO YAKO , WALITETEMEKA mh Aleluya BABA
Wakasema wewe ndiwe BWANA Baba
CHORUS
TAMALAKI X8 JINA LAKO LINAWEZA
TAMALAKI X2JINA LAKO LINA NGUVU
TAMALAKI X3 BABA WAKUONE
DUNIA IKUJUE
DUNIA WAKUONE
EEeeh! WAKUONE .TAMALAKI X3 WAGONJWA WAKUONE
TAMALAKI X2 WAFALME WAJUE WEWE NI NANI
TAMALAKI X5TAWALA BABA ,YESU ,MUNGU
WACHA NIKUINUE PEKEE YAKOOO..ACHA UHIMIDIWE PEKEE YAKOOOH! ,HAKUNA MUNGU
TOKA MBINGUNI TUMESIKIA MSHINDO WA JINA LAKO NA SIFA ZAKO O, NANI KAMA WEWE E.
KUMBE UWAVIKA VAZI LAKO LA SIFA MWOKOZI ,BADALA YA AIBU Ee? UHIMIDIWE Ee
KAMA MFANO WA SIMBA UMEKETI KWENYE NJIA KUU , HODARI WA MAWINDO Ee! UINULIWE EHEE UINULIWE PEKEE YAKO JEHOVAH
ULITIKISA MALANGO YA KUZIMU , FALME ZA GIZA ZILITETEMEKA hey.. YEAH! UHIMIDIWE Ee
Chorus
TAMALAKI X3JINA LAKO LINANGUVU
TAMALAKI X5 Eeh! NAKUABUDU MUNGU
WANGU
TAMALAKI X2 NAKUSHUKURU MUNGU WANGU
TAMALAKI X3 JINA LAKO LINAWEZA
KANISA LIKUONE ,SHUKA SASA WATOTO WAKUONE ,
TAMALAKI X3 MAGONJWA YAKAONDOKE
WENGINE WAINULIWE
TAMALAKI X2
HALLELUJAH JEHOVAH TAMALAKI MUNGU ULIYE HAI ,INUKA KWENYE KITI CHAKO CHA ENZI ,SIMAMA UKUTANE NA WATU WAKO
SIMAMA UKUTANE NA SHIDA ZA WATU WAKO
KUTANA MAUMIVU YA WATU WAKO , WENGINE WANALIA KUKATALIWA , AMKA MUNGU UKUTANE NA WATU WAKO KUTANA NA SHIDA ZA WATU WAKO ANGALIA WENGINE WAMEKOSA KAZI , WENGINE WAMEFUKUZWA KAZI ,ANGALIA WENGINE WANALIA UMASIKINI, WENGINE WANA MAGONJWA SUGU ,Eeh! MUNGU
TIMIZA AHADI YAKO KWA WATU WAKO , SIMAMA ULIANGALIE NENO LAKO ,UKATENDE SAWA NA NENO LAKO ALELUYA X4 MUNGU ,HESHIMA,UWEZA UNAWEWE, MAMLAKA , UINULIWE EHEE
TAMALAKI X3 Viziwi wasikie
TAMALAKI X5 Nakuabudu BABA
Mmh X6 HAKUNA MUNGU KAMA WEWE,ACHA NIKUTUKUZE, UTUKUFU UNAWEWE JEHOVAH , NAKUINUA, NAKUSHUKURU NASUJUDIA ,UHESHIMIWA, HAKUNA MUNGU MWINGINE, NGUVU ZI NAWEWE
++++END+++++
EDITED WITH BAHATI COSMAS MUSHI
CONT: +255656796905