
Imbeni Na Kusifu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2011
Lyrics
Imbeni Na Kusifu - Rose Muhando
...
Eih! Eih! Eih! Eih!
Checha! Checha! Checha!
Awowowowowo!
Hallelujah binguni sifuni
Isifuni jina lake
tangazeni ukuu wake
nguvu na utukufu wake
waambieni watu wote
habari za maajabu yake
Jericho umeanguka
Babeli umeanguka
Wale nyoka wametupwa
utukufu unashuka leo
mkono wako wenye nguvu
ndio umetenda hata
nani Mungu kama wewe
katikati ya miungu yote
we nimpiganaji hodari
Shujaa usieahindwa
Hallelujah!
tuimbeni na kusifu
hallelujah!
imbeni na kusifu
imbeni wanna wa Mungu
tuimbeni na kusifu
Imbeni mlio hai
imbeni na kusifu
imbeni mlio kombolewa
tuimbeni na kusifu
imbeni mlio samehewa
imbeni na kusifu
imbeni mabinti sayuni
tuimbeni na kusifu
imbeni Mungu ni mwema
imbeni na kusifu
Checha! Checha! Checha!
Awowowowowo!
Mungu aliko simama
nchi ilitikisika
alipotoa sauti yake
milima ilitetemeka
alipomyosha mkono wake
falme zilitetemeka
jeshi za wamisiri saambani
na wafirauli Ile
mbona wameangamia wote