
Tuipakue
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Tuipakue - Rose Muhando
...
Asali ya Mungu Baba Tuipakue Asali ya kanani Tuipakue, tuipakue-pakue Tumewaacha na maboga yao (na maboga)( Ona wamebaki na matango yao (na matango) Hao Wamisiri na pilau lao (na pilau) Tumewaacha na uchawi wao (na uchawi) Ona wamebaki na miungu yao (na miungu) Tumewaacha na ushamba (na ushamba) Ona wamebaki na ushamba (na ushamba) Tumewaacha mbali sana (mbali sana) Wakichungulia, hawatuoni Wakitutafuta, hawatuoni Hata kwa tunguri, hawatuoni Hata kwa tunguri, hawatuoni Hata kwa Uchawi, hawatuoni Hale-Halelujah Moto umewaka, vita vimekwisha Ushindi tumepata, mbingu zimefunguka Tumepiga Kambi, tunataka ushindi Sisi hatushindwi, Mungu wetu ni fundi Tuipakue, tuipakue-pakue Asali tumeiona x2 Tuipakue na masega yake Wachungaji njooni Twende tuteke mateka Wayunani wamekimbia Wahitti wamekimbia Ona Wakanani wamekimbia Waamori wamekimbia mbali Twende tuteke mateka sana Ona asali tumeona Mungu ametushindia Mungu ametutendea Teremka! Kajua kali, jua kali Amani ile Furaha tele, furaha tele Ona uzima ule Maziwa yale Asali tele Mafanikio tele Ushindi ule Uzima ule Asali tumeiona Leteni na masufuria na vikombe Na tujilambe Masahani yako wapi? Akina mama mko wapi? Kina baba twendeni? Asali na tujilambe Teremka! Kajua kali, jua kali Amani ile Furaha tele, furaha tele Ona uzima ule Maziwa yale Asali tele Mafanikio tele Ushindi ule Uzima ule
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Tuipakue MP3 song. Tuipakue song from album Secret Agenda is released in 2022. The duration of song is 00:05:10. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Tuipakue, Tuipakue song, Tuipakue MP3 song, Tuipakue MP3, download Tuipakue song, Tuipakue song, Secret Agenda Tuipakue song, Tuipakue song by Rose Muhando, Tuipakue song download, download Tuipakue MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Janet Khavele
Tuipakue twende kwa yesu nice one
felisterja2x4
good
durvin c kennei
so great ♥️♥️
pidii huxh
[0x1f623][0x1f623]
Togolamama9
Tupakue pakue ❤️❤️❤️❤️
am Ugandan, not fluent in kiswahili but I really love the song kindly someone translate for me also