
Achia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2011
Lyrics
Achia - Rose Muhando
...
ROSE MUHANDO( Achia)
Jamani mateso haya mpaka lini,Amaah ukiwa hiv mpaka lini
Nyumban kwetu wenyew tumekuwa wageni,kwenye nchi yetu tumekuwa watumwa,urithi wetu wenyewe tuwe kuomba omba
Tunaishi kwa mashaka Kama watoto wa kambo,haki zetu za msingi nazo tumenyang'anywa,kumbe shetan umekslia mafanikio yetu,kumbe ibilisi umekamata waraba zetu,
Sasa tunasema tumeshatambua,Vita tutapigana tujue haki zetu
taka usitake lazim uachie,tumechokaaaaaah ( Achia,Achia)
Achia baraka zetu (Achia)
Kwa jina la Yesu(Achia)
Achia watot wetu(Achia)
Kwa jina la Yesa(Achia)