![Si Njia Rahisi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/3A/rBEeNFqmXT6AZQ-GAADgWxc1Kxw072.jpg)
Si Njia Rahisi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Si Njia Rahisi - Reuben Kigame
...
Si njia rahisi
Ya kwenda mbinguni
Miiba mingi safarini
si njia rahisi
lakini ninaye
mokozi aliye nifia
Laaa
La si njia rahisi
Laaa
Laaa si njia rahisi
Kutembea na yesu
Kuongoza safari
Mazito huyarahisisha
Si njia rahisi
Mashaka ni mengi
Mapigo nayo majaribu
Vikwazo vimo tele
Lakini najua mwokozi yu pamoja nami
Oooh! oooh
Laa laa
Si njia rahisi
Laa kaa
Si njia rahisi
Kutembea na yesu
Kuongoza safari
Mazito huyarahisisha
Najipa moyo hima Mwokozi aweza
Kunishindia haya yote
Tashinda kwa imani
Amenitangulia
Nayaweza mambo yote kwake
Yeh! yeh! ooh!
La la Si njia rahisi ×2
Kutembea na yesu
Kuongoza safari
Mazito huyarahisisha
Halelluyah
Kutembea na yesu Kuongoza safari Mazito huyalahisisha