![Heri Siku Moja](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/8D/rBEeMVqmXnCALVA_AADuvN9sQFw693.jpg)
Heri Siku Moja Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Heri Siku Moja - Reuben Kigame
...
Ewe mungu wa majeshi, ninapenda kukaa na weee
Maskani zako zapendeza, nazikondea kwa shauju kubwa,
Heri siku moja, mbele zako kuliko siku elfu mbali na wewe, eeeh bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima,,,
Moyo na mwili wako bwana vyakulilia mungu wangu,
Heri nikose vyote baba lakiniii nikupate wewe,
Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe, eeh bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima,,,,×2