![Sina Mungu Mwingine](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/5C/rBEeM1qmXiOAZrigAACz9r4oO9Y159.jpg)
Sina Mungu Mwingine Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Sina Mungu Mwingine - Reuben Kigame
...
Oh baba mimi sina Mungu mwingine nimfahamuye ni wewe pekee uijazaye roho yangu hallelujah tuimbe pamoja
Sina Mungu mwingine
wakutegemea
mbinguni na duniani
Hapana mwingine (sina cha kupendeza )
Sina cha kupendeza (wala cha faida )
Wala cha faida
Ila wewe Bwana wangu
Mungu wa milele
Mwili na moyo wangu
Vyaweza zimia
Bali Mungu ndiye nguvu
za uhai wangu
(yeye sehemu yangu)
Yeye sehemu yangu
Milele daima
(nitaingia hema yake )
nitaingia hema yake
na sifa zake kuu
...........chorus
Ni nani mwingine
ajazaye roho yangu na
kunipa raha kamili
(Ila ni)
Ila ni seme ni
akomboaye mwanadamu
na kumshindia shetani
usifiwe Bwana ni wewe pekee tu bwana
Sina Mungu mwingine
(wa kutegemea)
wa kutegemea
(mbinguni na duniani)
Mbinguni na duniani
Hapana mwingine (sina cha kupendeza )
Sina cha kupendeza (wala)
Wala cha faida
(cha faida sina baba)
Ila wewe bwana wangu
Mungu wa milele
(kuna swali tunawauliza sasa)
Ni nani mwingine
ajazaye roho yangu na
kunipa raha kamili(hallelujah)
Ila niseme ni
akomboaye mwanadamu
Na kumshindia shetani
***************************
Hallelujah Bwana nikitazama dunia nzima
Niende Wapi sioni mtu mwingine
sioni binadamu sioni chochote ambacho kinanifaa ambacho kina ni jaza unijazavyo baba
...........................................
(Ni Nani mwingine )
Ni Nani mwingine
ajazaye roho yangu na
kunipa raha kamili
(Ila Ni seme ni)
Ila niseme Ni
akomboaye mwanadamu
Na kumshindia shetani
Mmmm Mh mh
oooo Bwana
...........................