
Wewe Ni Mungu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Wewe Ni Mungu - Zabron Singers
...
Pale Shamu kwa fimbo Bahari ikageuka njia
Kwa sauti na neno lako Mungu dunia ikawa
Pekee yako waweza fufua Unaponya na kusitisha kifo
Na walinzi wa lile kaburi lake Yesu waliambulia patupu
Kule Kana ya Galilaya Yale maji yakawa divai
Pekee yako Bwana waweza sema Hivi iwe na kisha ikawa.
Wewe ni Mungu wastahili sifa Ninakuabudu milele Amina
Ndiyo yako Bwana ni ndiyo Ukisema ndiyo ni ndiyo
Na sauti ukanipa niimbe Nihubiri na nikutangaze
Mema yako watu wayajue Wakuinue wakusifu Wewe
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Zabron Singers Wewe Ni Mungu MP3 song. Wewe Ni Mungu song from album Niko Sawa is released in 2023. The duration of song is 00:03:35. The song is sung by Zabron Singers.
Related Tags: Wewe Ni Mungu, Wewe Ni Mungu song, Wewe Ni Mungu MP3 song, Wewe Ni Mungu MP3, download Wewe Ni Mungu song, Wewe Ni Mungu song, Niko Sawa Wewe Ni Mungu song, Wewe Ni Mungu song by Zabron Singers, Wewe Ni Mungu song download, download Wewe Ni Mungu MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
sandrovicwsiem
luifxjv0
wimbo wangu bora katika hii album
my favorite crew