![Bwana Nipandishe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/3A/rBEeNFqmXT6AZQ-GAADgWxc1Kxw072.jpg)
Bwana Nipandishe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Bwana Nipandishe - Reuben Kigame
...
1.mbele ninaa endelea,
ninazidi kutembea
maombi uyasikieeee
Ee BWANA unipandishee
EE BWANA UNIINUE
KWAIMANI NISIMAME
NIPANDE MIILIMA YOTE
EE BWANA UNIPANDISHEE
2. nisikae dunianii
mahali paa majaribuu
natazamiia mbingunii
nitafikaa kwa imanii
EE BWANA UNIINUE
KWA
KWAIMANIII NISIMAMEE
NIPANDE MIILIMA YOTE
EE BWANA UU NIPANDISHE
by samweli msigala,. on YouTube. also I'm gospel mussician