![Enda Nasi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/5C/rBEeM1qmXiOAZrigAACz9r4oO9Y159.jpg)
Enda Nasi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Enda Nasi - Reuben Kigame
...
Hufika wakati katika maisha ya wanadamu ambapo tunafanya mambo bila ya Mungu kukua nasi.
ni vyema kufahamu kwamba asipoenda nasi haitawezekana sisi kufaulu kama musa na waizraeli tuombe bwana tafadhali enda nasi hili liwe ni ombi lako siku ya leo
Tunaomba uwepo wako uende nasi
ewe bwana wa majeshi tusikie
kama huendi nasi
hatutaki kutoka hapa hatuwezi peke yetu
enda nasi
tuwatuwapo shingo ngumu tusamehe
hatufai mbele zako turehemu
tusafishe ee baba
tuonyeshe uso wako
twahitaji nehema yako
enda nasi
mmmmmmmmh
Tutavua mapambo yetu
vitu vyote vya dhamani kwetu
mioyo yetu twaleta mbele zako
tutakase na utembee nasi
tunaomba utuonyeshe njia zako
kwa maana umetuita kwa jina lako
twalilia eee baba utukufu na uso wako bila wewe tutashindwa
enda nasi
tutavua mapambo yetu vitu vyote vya dhamani kwetu
mioyo yetu twaleta mbele zako
tutakase na utembee nasi
(ndugu na dada yangu tafadhali usijaribu kuyamudu maisha ya bila yake bwana utashindwa. yafaa tufike mahali ambo musa alimlilia bwana na kutafuta uso wake na kusema bwana tafadhali enda nami enda nasi)
oooooooooooooohh
tutavua mapambo yetu vitu vyote vya dhamani kwetu
mioyo yetu twaleta mbele zako tutakase na utembee nasi
tutavua mapambo yetu vitu vyote vya dhamani kwetu mioyo yetu twaleta mbele zako tutakase na utembee nasi
mioyo yetu twaleta mbele zako tutakase na utembee nasi
mioyo yetu twaleta mbele zako tutakase na utembee nasi
(bwana tembea nasi )