![Mwamba Wenye Imara](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/3A/rBEeNFqmXT6AZQ-GAADgWxc1Kxw072.jpg)
Mwamba Wenye Imara Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Mwamba Wenye Imara - Reuben Kigame
...
Mwamba wenye imara..... kwako nitajificha..... Hayo maji na damu....... toka Mbavuni mwako...... dhambi zangu takasa.... mzigo kuondoa.....
Sina cha mkononi.... naja msalabani..... nichukue.... univike... mi mnyonge..... nishike.... mi ni mchafu nadhambi...... nioshe bwana nisife............
Maisha.... yaishapo.... na mauti...... yajapo...... nipaapo.... binguni... nikuone.... enzini...
Mwamba wenye imara kwako mi ntajificha×2