
Nitayainua Macho
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nitayainua Macho - Christina Shusho
...
Nitayainua macho yangu juu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana
Majeshi yajapojipanga kupigana nami
Moyo wangu hautaogopa
Maana najua husinzi wala hutalala Bwana wangu utanipigania 2
Eeh Bwana nimeungojea wokovu wako na maagizo yako nimeyatenda
Nafsi yangu imezishika shuhuda zako nami nimekupenda mno
Nimeyashika mausia yako maana njia zangu zi mbele zako
Bwana kilio changu yakikukaribia unifahamishe sawa na neno lako
see lyrics >>Similar Songs
More from Christina Shusho
Listen to Christina Shusho Nitayainua Macho MP3 song. Nitayainua Macho song from album Kwa kanisa La Kristu is released in 2020. The duration of song is 00:06:34. The song is sung by Christina Shusho.
Related Tags: Nitayainua Macho, Nitayainua Macho song, Nitayainua Macho MP3 song, Nitayainua Macho MP3, download Nitayainua Macho song, Nitayainua Macho song, Kwa kanisa La Kristu Nitayainua Macho song, Nitayainua Macho song by Christina Shusho, Nitayainua Macho song download, download Nitayainua Macho MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Gloria Ondiek
princessmueni
I heard this song when I was around little en ave been really searching it... I'm glad have found it
kalenge anord
a song is heartfull theme,,spritual

Dankipz035
,,..Nitayainua macho yangu juu nitazame milima,,,msaada wangu watoka wapi?????
Ian Dome
Love it
Esther f3llr
Very spiritual and a prayerful song
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f621]