![Ombi Langu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/5C/rBEeM1qmXiOAZrigAACz9r4oO9Y159.jpg)
Ombi Langu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Ombi Langu - Reuben Kigame
...
music...
ohh Papa ni vyema Kuwa mbele zako Baba
roho yangu inatamaaani
ni kufahamu nikuabudu nikuishie siku zote.. hili baba ni ombi langu.
Kama Ayala anatamani maji huko jangwani. roho yangu inatamani uso wa baba yangu.