Magonjwa Yote
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Magonjwa Yote - Bahati Bukuku
...
nguo walimvua haa, nguo walimvuaaaa, nguo walimvuaaa, ohoo, nguo walimvuaaa, mwanadamu walipo hasi mbelezakoo, mwanadamu walipo hasi mbele zako, Mungu wa huruma ulimuhurumia, Mungu wa huruma ulimuhurumia, ulimutoa yesu kwa gh'arama kubwa, ulimtoa Yesu kwa gh'arama kubwa ohoooooo, nguo walimvua ahaa, nguo walimvuaaa, misumali alipigwaaa ohooo, mijeredi alipigwaaa, alipopigwa mijeredi ilitoka na nyamaaa, maumivu makali yeye alipata, neno la mungu linasema hivi, kwa kupigwa kwake sisi tumepona, kwa kupigwa kwake umepona ukimwi, kwa kupigwa kwake umepona ganzi, kwa kupigwa kwa Yesu umepona kansa, amesema yeeeye, amesema yeeyeeee.
Similar Songs
More from Bahati Bukuku
Listen to Bahati Bukuku Magonjwa Yote MP3 song. Magonjwa Yote song from album Bahati Bukuku Singles is released in 2017. The duration of song is 00:08:36. The song is sung by Bahati Bukuku.
Related Tags: Magonjwa Yote, Magonjwa Yote song, Magonjwa Yote MP3 song, Magonjwa Yote MP3, download Magonjwa Yote song, Magonjwa Yote song, Bahati Bukuku Singles Magonjwa Yote song, Magonjwa Yote song by Bahati Bukuku, Magonjwa Yote song download, download Magonjwa Yote MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
Yobra Shilabi
Benard Ochiengh9v8l
waja kenya lini we love you mum
Lucas Mwasomolanvwfs
♥️♥️♥️
Dodovic Amos
shikamoo
SAMUEL PAULu03ov
vvu anaponya sana tatizo Imani hatuna.mkiwa na imana kkama punje ya haradan mtauambia mlima huu ng'oka utang'oka tuamini tu
Anna helleman
tazama
Nyimbo za kumsifu ni nyimbo zinazotoa nguvu na kumfariji roho sana
Anna helleman
Anna helleman
chirujoy
Nyimbo za kumsifu ni nyimbo zinazotoa nguvu na kumfariji roho sana
BONPHACE PHALLO
naupenda huu wimbo.
Verynice Nelson
i love u are songs
ISSACK THE BOY
God is Good
God is good always