![Pokea Sifa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/5C/rBEeM1qmXiOAZrigAACz9r4oO9Y159.jpg)
Pokea Sifa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Kunae rafiki special ambae Mungu amenitumikia kwenye maisha yangu
Jina lake ni douglas Jibet
Ndiye alieuandika wimbo ufuatao
Pokea sifa
Na sijui wangapi wenyu wana marafiki ama jamii ambao spesheli kwao na wanaweza kushukuru Mungu kabisa kwa ajili yao asante bwana
pokea sifa zetu kwa vinywa zetu tutasema were pekee pokea sifa
pokea g sifa
halleluya
pokea sifa (ewe bwana wetu) bwana pokea sifa (jina lako baba)jina lako litukuzwe bwana pokea sifa
malaika wakuabudu
bwana pokea sifa
ulimwengu tunakuabudu
bwana pokea sifa
bwana wetu
pokea sifa (utukuzwe bwana) bwana pokea sifa ( jina lako takatifu) jina lako litukuzwe bwana pokea sifa
enzi yako ni ya milele
bwana pokea sifa
milele hata milele
bwana pokea sifa
hehehehehehehe
pokea sifa ( Mungu wetu baba)bwana pokea sifa ( jina lako) jina lako litukuzwe bwana pokea sifa
oh baba yetu twaja kwako tukiungana na maumbile yote uliofanya kwa mkono wako sisi kitu gani hata utujali twasema ewe pekee pokea sifa zako
utukufu wote ni wako
bwana pokea sifa
sifa zote zako milele baba eh
oh pokea sifa bwana pokea sifa
jina lako litukuzwe bwana pokea sifa pokea sifa ( milele na milele) bwana pokea sifa ( jina lako baba) jina lako litukuzwe bwana pokea sifa
bwana pokea sifa (milele na milele milele na milele) bwana pokea sifa
haleleuyah pokea zote baba