
Nawapenda
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nawapenda - Zabron Singers
...
Ninaye rafiki kipenzi, kipenzi namuita Mamaa,
Anapacha wake yeye ninamuita Daddy,
Hawa niwazazi wa mimi na leo ninawimbo wao,
Tuseme mazuri mengi walotufanyia,,
Anza na Mama wendo wangu super woman (Super woman)
Anayajua mengi juu ya mi mwanao mama,
Kwanza nilikusuMbua utotoni nivitavita na vistiki nlichezea lengo unifunze tabia njema,
Mamaah tumbon ulinibeba kwa uvumilivuu,
Mimi ukanilea miezi Tisa tumboni mwako mamaah,
Shida mateso yote ulivumilia,
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Zabron Singers Nawapenda MP3 song. Nawapenda song from album Nawapenda is released in 2021. The duration of song is 00:04:57. The song is sung by Zabron Singers.
Related Tags: Nawapenda, Nawapenda song, Nawapenda MP3 song, Nawapenda MP3, download Nawapenda song, Nawapenda song, Nawapenda Nawapenda song, Nawapenda song by Zabron Singers, Nawapenda song download, download Nawapenda MP3 song
Comments (15)
New Comments(15)
Winfrida Msungujavvb
Noela Majuto
Napenda sana
Carol ul5r8
Nakupenda sana mamma. Hakuna kama mama
Rehema swalleh tqfa6
i miss my mum so much,.... continue resting in peace [0x1f625][0x1f653][0x1f653][0x1f653]
Charles 5tr4n
maandalizi mema ya sabatto
Charles 5tr4n
Nashukiru kwa wimbo huu, waimbaji songa mbele zabron Singers [0x1f607]
neema makali3ekyr
nakupenda sana mama yangu na pacha wako dady mungu awazidishie siku za kuishi na miaka mingi yenye baraka
nakupenda san mama yangu na oacha wako ddady ungu awaongezee siku za kuishi na miaka mingi
neema makali3ekyr
nakupenda san mama yangu na oacha wako ddady ungu awaongezee siku za kuishi na miaka mingi
grace huytm
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
mosses8uvhu
safii
Irene Dastan
Nakupenda sana mama angu mungu akulinde kwa ajiri yangu
janethcpfj3
[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]
mbarikiwe sana