![Salama Rohoni](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/3A/rBEeNFqmXT6AZQ-GAADgWxc1Kxw072.jpg)
Salama Rohoni Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Salama Rohoni - Reuben Kigame
...
Nionapo amani kama shwari,
Ama nionapo shida;
Kwa halo zote umenijulisha,
Ni salama rohoni mwangu.
Ingawa Shetani atanitesa,
Nitajipa moyo kwani;
Kristo ameona unyonge wangu,
Amekufa kwa roho yangu.
Salama, Salama,
Rohoni, Rohoni,
Ni salama rohoni mwangu. x2
Dhambi zangu zote, wala si nusu,
Zimewekwa Msalabani;
Wala sichukui laana yote,
Ni salama rohoni mwangu.
Salama, Salama,
Rohoni, Rohoni,
Ni salama rohoni mwangu,
Ni salama rohoni mwangu.