
Password Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Password - Christina Shusho
...
lyric sync by Phellow 254790511905
Teddy B
Palikuwa na mtu mmoja
wa jamii ya Wadani
jina lake aliitwa Manoa
mtu huyo alikuwa tasa hakuzaa watoto
malaika wa Bwana akamwambia
utazaa
password, chunga sana password
password wozaa
password usitoe password
password wee mnadhiri wa Mungu
usinywe divai wala kileo
wala chochote kilicho najisi
mama utachukua mimba
utazaa mwanamume
wembe usipite kichwani mwake
Samsoni
password, chunga sana password
password wozaa
password usitoe password
password wee mnadhiri wa Mungu
katika huyo mwenye kula kikatoka chakula
katika huyo mwenye nguvu
ukatoka utamu
kitu gani kilicho kitamu kuliko asali
ni gani kilicho na nguvu
kuliko simba
password, chunga sana password
password wozaa
password usitoe password
password wee mnadhiri wa Mungu
wakinifunga kamba mbichi eh eh
ambazo hazijakauka eh eh
hapo ndipo nitakuwa dhaifu eh
ah wapi!
wakinifunga kamba mpya eh eh
ambazo hazijatumika eh eh
hapo ndipo nitakuwa dhaifu eh eh
ah wapi!
wembe haukupita juu ya kichwa changu
tangu tumboni mwa mamangu
nikinyolewa nitakuwa dhaifu
mimi mnadhiri wa Mungu
wembe haukupita juu ya kichwa changu
tangu tumboni mwa mamangu
nikinyolewa nitakuwa dhaifu
mimi mnadhiri wa Mungu
password, chunga sana password
password wozaa
password usitoe password
password wee mnadhiri wa Mungu
password, chunga sana password
password wozaa
password usitoe password
password wee mnadhiri wa Mungu
lyric sync by Phellow 25479051905