![Hesabu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/18/42494a75374744f8983242a8c0a84438.jpg)
Hesabu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Hesabu - Christina Shusho
...
Nimehesabu na kuhesabu
Nimehesabu na kuhesabu
Nimeongeza na kutoa
Nikazidisha na kugawanya
Nimeona ni wewe
Yesu ni wewe tu
Nimeona ni wewe
Yesu ni wewe tu
Hakuna mwingine ni wewe
Yesu ni wewe tu
Peke yako ni wewe
Yesu ni wewe tu
Hesabu zote nilizofanya
Nimeona ni wewe tu
Peke yako niwee ni wewe Yesu ni wewe tu
Mwanzo mwisho ni wee
ni wewe Yesu ni wewe tu
Yesu ni wewe
Ni wewe Yesu ni wewe tu
"" "" "" ""
Nikikumbuka ulikonitoa
Nikikumbuka uliyonitendea
Ninakumbuka magonjwa uliyoniponya
Ninakumbuka vita uliyonipigania
Ninakumbuka safari umenitembeza
Ninakumbuka yale Mungu uliyotenda
Oh Ninasema ni wewe
Bwana Ninasema ni wewe tu
Ni wewe ni wee
Yesu wewe ni wewe tu
Umetenda Haya ni wee
Eeewe ni wewe tu
(Hakuna mwingine awezaye) Ni wee
Ee Bwana ni wewe tu
"" "" "" "" ""
Nani awezaye kutenda uliyotenda Bwana
Nani angelipa gharama uliyonilipia
Kumbe si wenye mbio washindao michezo
Wala walio hodari washindao vitani
Nimeona watumwa wakipanda farasi
Ee Bwana wala si wenye hekima
Wapatao chakula
Bwana, nimejumlisha nimetoa nikazidisha nikagawa
Wewe sijaona mwingine
(Ee Bwana) Ni wewe
Ni wewe tu
(Ni wewe Bwana) Ni wee
Ni wewe tu
Ni wee
Ni wewe tu
(Umetenda haya)
Ni wee
Ni wewe tu
(Umefanya yote)
Ni wee
Ni wewe tu
(Ni wewe Bwana)
Ni wee
Ni wewe tu
(Umetenda haya)
Ni wee
Ni wewe tu
(Sifa zote ni zako)
Ni wee, Bwana
Ni wewe tu
(Ni wewe Yesu)
Ni wee, Bwana
Ni wewe tu
Ni wee
Ni wewe tu