
Msaada ft. Zabron Singers Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Msaada ft. Zabron Singers - Christina Shusho
...
Maisha ni safari ndefu kuna kupanda na kushika na usijue unakokwendaa eeeh baba . Kuna mda wpoteza tumaini ukalia na Mungu na hao wanadamu wasijalii eeh baba , najiona nimefika mwisho sitaweza tena kumbe msaada wangu upo kwa bwana, ninainua macho yangu nimtazame bwana nijue msaada wangu una unatoka wapi.
Nimejua msaada wangu ×6
unatoka wapi