![Muujiza](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/18/42494a75374744f8983242a8c0a84438.jpg)
Muujiza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Muujiza - Christina Shusho
...
si kwa bahati Mbaya uko hai na sikwamba wewe nimjanja kuliko wale waliolala Ila yote ni muujiza wa mungu tu ni muujiza tu . nikilala niamke ,nikiona na tembea mwenzenu kwangu ni muujiza , asubuhi kunakucha, jioni ikiingia maisha yangu Mimi ni muujiza tu. siku ikipita mwezi na mwanga unakwisha Mimi eeeh kwangu ni muujiza tu ,eeeh yesu, eeeh yesu bwana wangu eeeh, eeeh kwangu ni muujiza . Mimi ni muujiza, maisha yangu muujiza eeeh bwana eeeh kwangu ni muujiza
chorus
Kuna walio lala hawakuamka eeh bwana naona ni muujiza
walio Anza safari hawakufika Mimi Leo najiona ni muujiza
kua hai kutangaza neno lako bwana kwangu Mimi ni muujiza
Sina sababu ya kunyamaza maana kwangu ewe bwana ni muujiza
chorus
oooyeee*2
oyyyesu wee ooh yeee
ooh yesu wee
yesu wangu ooh
hey hey
chorus (Mimi ni muujiza ,maisha yangu ni muujiza eeh bwana wee kwangu ni muujiza, nikilala ni muujiza, nikiamka ni muujiza ,eeh bwana we kwangu ni muujiza