![Teta Nao Remix ft. Dreamers Singers](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/24/c14da0fad58f435ca1d2ffc83fef44f4_464_464.jpg)
Teta Nao Remix ft. Dreamers Singers Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Christina Shusho Ft. Dreamers Singers - Teta Nao remix - Christina Shusho
...
...
ee Bwana utete nao wanao teta Nani
upigane nao wanao pigana Nani x2
ushike ngao na kigao usimame unisaidie
uutoe mkuki uwapige wanaonifuatia
uambie nafsi yangu Mimi Ni wokovu wako x2
waniuliza Mambo nisiyoyajua
ee Bwana utete nao wanao teta nami
upigane nao wanao pigana Nami x2
waaibishwe
wafedheheshwe
warudishwe nyuma wanaotafuta nafsi yangu
wafadhaishwe
wawe kama makapi
mbele ya upepo malaika wa Bwana awaangushe chini
wananilipa mabaya badala ya mema
kutwa kucha waniwinda ili niteseke
kiganjani mwako niweke ee Mungu wangu
ubavuni mwako nikumbatie Jehova wangu
mkononi mwako niweke ee Mungu wangu
ubavuni mwako nikumbatie Jehova wangu
ee Bwana utete nao wanao teta nami
upigane nao wanao pigana Nami x2
njia yao iwe giza na utelezi
malaika wa Bwana akiwafuatia
uharibifu wapate kwa ghafla