![Nina Wimbo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/12/11d5cd74b20345b8a8e31a135b16a5c9.jpg)
Nina Wimbo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Christina Shusho - Nina Wimbo - Christina Shusho
...
Nina wimbo wimbo wimbo
Mimi Nina wimbo wimbo wimbo
Mwenzenu Nina wimbo wimbo wimbo
Heee wouooohh! Yeeeeeaaah!
Nina wimbo(wimbo) wimbo (wimbo) wimbo
Mimi Nina wimbo (wimbo wa sifa)
Wimbo (wimbo) wimbo(wimbo)
Wimbo wa shukurani (wimbo wimbo wa shukurani) wimbo (wimbo)
Yesu wimbo wangu (Yesu wimbo wangu) wimbo (wimbo)
Nitamwimbia Bwana kwa kuwa ametukuka sana
Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini
Mungu kwa rehema zake amewaongoza watu amewakomboa
Vizazi vya watu wamesikia wametetemeka
Nina wimbo (Nina wimbo wimbo wimbo)
Mimi nina wimbo
Nina wimbo wimbo
Wimbo wangu ni Yesu - mimi Nina wimbo wimbo wimbo
Mwenzenu Nina wimbo (wimbo wimbo wimbo)
Heee
Ee Bwana katika miungu ni Nani aliye kama wewe!? Mtukufu katika utakatifu mwenye kuogopwa katika sifa zote
Mfanya maajabu ni wewe pekee
Haleluya
Jehovah
Wewe wimbo wangu
Yahweh
wewe wimbo wangu
Saviour
Redeemer
The great physian
You are my song
Mwokozi
Mkombozi
Tabibu
Wewe wimbo wangu
Rabi
Wewe wimbo wangu
Mwalimu
Mwalimu mwema
Mwalimu
Wewe wimbo wangu
Nina wimbo
Yesu wimbo wangu wee
Nina wimbo
Mimi Nina wimbo
(Yesu wimbo wangu) - Mwenzenu Nina wimbo
Nina wimbo(-wimbo wangu)
Yesu furaha yangu
Furaha ya moyo
Jawabu la shida zangu
Yesu wimbo wangu
Nikimwita anajibu
Wimbo wangu
Yesu wimbo wangu
*
Nina wimbo
Mwenzenu Nina wimbo - mimi Nina wimbo
Mwenzenu Nina wimbo - Mwenzenu Nina wimbo
Wimbo wa rafiki yangu kipenzi
Yesu rafiki yangu
Mimi Nina wimbo wee
Nina wimbo
Mwenzenu Nina wimbo
Haleluya