
Thamani Ya Wokovu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Christina Shusho - Thamani Ya Wokovu - Christina Shusho
...
Thamani ya wokovu wangu Anayejua ni mwokozi wangu, sikia hii....
Ngoja nikusimulie Habari ya kijana mmoja
Kijana mtanashati, mpole kipenzi cha wengi
Anazo sifa nyingi lakini kuu Kwake ni upendo
Siku moja alikutana na mwanamke msamalia kisimani
Kijana akamwomba maji
Mwanamke naye akamuuliza
Tangu lini wayahudi na wasamalia tukashikama!?
Kijana akamwambia ungejua mimi ni maji yaliyo hai
Ungekuja kwangu unywe ili usiwena kiu tena
Mimi aliniona nilivyokuwa nime choka nimechakaa
Kijana akanipenda akanichukua akanitengeneza
Thamani ya wokovu wangu
Anayejua ni mwokozi wangu
Gharama ya Maisha yangu
Anayejua ni muumba
Nikisema nimeokoka
Mbona hamnielewi!?
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaa!?
Thamani ya wokovu wangu
Anayejua ni mwokozi wangu
Gharama ya Maisha yangu
Anayejua ni muumba
Nikisema nimeokoka
Mbona hamnielewi!?
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaa!?
Maisha ni hazina iliyo mikononi mwa Mungu
Hakuna ajuaye salio la siku zake
Ukiona ni mzima Leo hujui kesho itakuwaje
Ndio maana nimeona nikukumbushe habari za Yesu
Yeye akikupenda wala hatoitoi kasoro
Ukimpokea Leo anabadili historia yako
Atakuchukua hivyo ulivyo akufanye kiumbe kipya
Hata kama unalia Leo jua kesho utacheka
Huyu mwanamume Yesu ni wa ajabu wala Hana mfano wake
Upendo wake ulivyo mkuu kwetu
Akaona heri ajitoe
Aliacha Enzi na utukufu mbinguni
Akakubali mateso Hata kifo cha aibu
Akavuliwa nguo ili mimi nipone
Akatemewa mate ili mimi niwe huru
Eehee Yesu oh uuh Yesu oh
Yesu Yesu Yesu eeeh hee
Thamani ya wokovu wangu
Anayejua ni mwokozi wangu
Gharama ya Maisha yangu
Anayejua ni muumba
Nikisema nimeokoka
Mbona hamnielewi!?
Nikisema sema nimependwa mie
Mbona mwanishangaa!?
Thamani ya wokovu wangu
Anayejua ni mwokozi wangu
Gharama ya Maisha yangu
Anayejua ni muumba
Niki sema nimeokoka
Mbona hamnielewi!?
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaa!?
Thamani ya wokovu wangu
Anayejua ni mwokozi wangu
Gharama ya Maisha yangu
Anayejua ni muumba
Niki sema nimeokoka
Mbona hamnielewi!?
Niki sema nimependwa mie
Mbona mwanishangaa!?
Thamani ya wokovu wangu
Anayejua ni mwokozi wangu
Gharama ya Maisha yangu
Anayejua ni muumba
Niki sema nimeokoka
Mbona hamnielewi!?
Nikisema nimependwa mie
Mbona mwanishangaa!?
"" "" "" ""