Haja ya Moyo
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Haja ya Moyo - Kurasini SDA Choir
...
Haja ya moyo moyo wangu ni kumwona yesu ajae kiu yangu ni kumwona niliye mngojea (Anapo kuja kuchukua marafiki zake kwa maisha ya baadae katika makao makao ya watakatifu mji wa jerusalemi x2)
chorus
Haja ya moyo wangu oh Rafiki ni kuketi
pamoja na Bwana yesu fumbo litakapo
fumbuka kwaheri Dunia kwaheri yalio
pita yameshapita mbele yangu sasa
Ninaona Nuru (kando kando ya Bahari
marafiki tutakutana Mambo yatakua
mapia kinyonge hakitaingia x2)
see lyrics >>
Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Haja ya Moyo MP3 song. Haja ya Moyo song from album Mtanitafuta Pande Zote is released in 2020. The duration of song is 00:05:25. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Haja ya Moyo, Haja ya Moyo song, Haja ya Moyo MP3 song, Haja ya Moyo MP3, download Haja ya Moyo song, Haja ya Moyo song, Mtanitafuta Pande Zote Haja ya Moyo song, Haja ya Moyo song by Kurasini SDA Choir, Haja ya Moyo song download, download Haja ya Moyo MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
barklay Mogeni
Opuktoto
[0x1f607][0x1f607][0x1f607]
Salious Thomas
god bless you
rey hamis
penda sana ❤❤❤ mungu awabariki waimbaji
Beatrice Akinyi96
my best song
Keenetwu6
Hallelujah
harshboe
The best song of all the time♥️[0x1f60e]
Best song of reflection of how the second coming of Christ Jesus will be.