Mbona Tujigambe
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Mbona Tujigambe - HEAVENLY ECHOES MINISTERS
...
1. Habari za mohabu bwana wa majeshi waisraeli asema hivi ole wa kenebomaana umeharika kijakaimu umehaibishwa (umetolewa mistaabu umehaibishwa na umebomolewa*2)*2
CHORUS
pembe ya mohabu umekatika na mkono wake mohabu umevunjika mohabu atakakaa katika matapiko yake naye atadhihakiwa zimesikika habari za kiburi ya mohabu na jeuri yake majivuno na alivyo Tanga mbali moyoni alijichukuza juu ya bwana (astahiliye kutamalaki ni mungu mungu pekee*2)2
2 .bass/tena . ( taifa teule ya bwana mungu lipigwe jalidi yakiwenaye mohabu)
alto/sop . (ajihisi ana nguvu kabambe ziwezazo piku jiwe lilo la pembeni)
all. (mbona tujigambegambe tujipige kifua ila nguvu zetu hafifu shusha kiburi ewe mfano wa mohabu bwana adhilifisha wenye wajeuri*2)2
Similar Songs
More from HEAVENLY ECHOES MINISTERS
Listen to HEAVENLY ECHOES MINISTERS Mbona Tujigambe MP3 song. Mbona Tujigambe song from album Mbona Tujigambe is released in 2023. The duration of song is 00:05:38. The song is sung by HEAVENLY ECHOES MINISTERS.
Related Tags: Mbona Tujigambe, Mbona Tujigambe song, Mbona Tujigambe MP3 song, Mbona Tujigambe MP3, download Mbona Tujigambe song, Mbona Tujigambe song, Mbona Tujigambe Mbona Tujigambe song, Mbona Tujigambe song by HEAVENLY ECHOES MINISTERS, Mbona Tujigambe song download, download Mbona Tujigambe MP3 song