
Ni Vema Kushukuru
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Vema Kushukuru - Ambassadors of Christ Choir
...
nivema kutenga MUDA wa kumshukuru MUNGU KWA KUWA UHAI wetu u mikononi mwake Tena tumshukuru KWA pendo lake NA wokovu tungeangamia wote asingelitufia. utatoa Nini kumshukuru MUNGU wako KWA yote akutendeayo utatoa Nini anakulinda utokapo Hadi urudipo wapaswa kumshukuru KWA pendo lake Hilo,.
NI vema kutenga muda wa kumshukuru MUNGU kwa kuwa uhai wetu u mikononi mwake tena tumshukuru kwa pendo lake na wokovu tungeangamia wote asingelitufia ,
ulipopita uliwaona wagonjwa wengi walio maututi wengine hawajiwezi WEWE u mzima tatoa Nini kushukuru ni heri ungetenga muda kumshukuru MUNGU ,
nivema.............,
wapita wakati mgumu usio elezeka familia zinawapoteza wapendwa wao hayo maumivu yote WEWE unafariji nikikumbuka napiga magoti kushukuru ,
NI vema..........
Kama hukupewa utajiri ujulikane wapaswa kushukuru vichache ulivyonavyo je wajua je Kama visingekuwa jaribu acha ya dunia umchague YESU pekee .
NI vema........
Similar Songs
More from Ambassadors of Christ Choir
Listen to Ambassadors of Christ Choir Ni Vema Kushukuru MP3 song. Ni Vema Kushukuru song from album Kwetu Pazuri is released in 2023. The duration of song is 00:05:58. The song is sung by Ambassadors of Christ Choir.
Related Tags: Ni Vema Kushukuru, Ni Vema Kushukuru song, Ni Vema Kushukuru MP3 song, Ni Vema Kushukuru MP3, download Ni Vema Kushukuru song, Ni Vema Kushukuru song, Kwetu Pazuri Ni Vema Kushukuru song, Ni Vema Kushukuru song by Ambassadors of Christ Choir, Ni Vema Kushukuru song download, download Ni Vema Kushukuru MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
pretty _caroline
pretty _caroline
it teaches us alot about kumshukuru Mungu
pretty _caroline
the song is nice
about :Kumshukuru Mungu