- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sayari sayari oooh dunia
Mbona wanipa hofu ewe dunia
Yatokeayo kwakoo eeh dunia
Kila kukicha mambo hugeuka kuwa maovu
Inawezekana umezeeka ee dunia
Au wakaao ndani yako ndio wamezeeka
Kila ifikapo ni vilio nifanyeje
Maafa yakabiri wengu dunia umezeeka
Sayari dunia uliumbwa wapendeza
Lakini sasa watupeleka wapi
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambassadors of Christ Choir
Listen to Ambassadors of Christ Choir Sayari Dunia MP3 song. Sayari Dunia song from album Yatupasa Kushukuru is released in 2023. The duration of song is 00:06:06. The song is sung by Ambassadors of Christ Choir.
Related Tags: Sayari Dunia, Sayari Dunia song, Sayari Dunia MP3 song, Sayari Dunia MP3, download Sayari Dunia song, Sayari Dunia song, Yatupasa Kushukuru Sayari Dunia song, Sayari Dunia song by Ambassadors of Christ Choir, Sayari Dunia song download, download Sayari Dunia MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Colya11
kennedy lungub51ac
best ever
Nakumbuka mbali sana.. dah [0x1f614][0x1f623]