- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Kuasi - HEAVENLY ECHOES MINISTERS
...
Song: KUASI
1.Kuasi ni kama dhambi ya uchawi uleta madhara sana na ukaidi kama ukafiri ni kama vinyago angalia kutii ni bora kuliko dhabihu na kusikia kuliko mafuta ya beberu {jamani tuwe watiifu na tuwe chanzo cha mabadiliko kwa jamii}²
Kiitikio
Mkabidhi bwana njia zako mtumaini na atafannya usiwausudu watendao ubatili kama michemi mibichi watanyauka umtumaini bwana utende mema maana kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora kuliko uwingi wa mali wa wasiohaki watenda mabaya wataharibiwa kwa ghaidhi iliyowaka kama moto eebwana niumbie moyo mpya kisha nienende kwa mienendo minyofu
2.Wakiachiliwa nzige kuadhibu waliozama dhambini parare na madumadu na tunutu mungu amekasirika jua litageuka kuwa usiku na mwezi kuwa damu kabla haijaja Siku ya bwana mungu (tangazo limewekwa jihadhari minara ya moshi kuingia duniani)²
Similar Songs
More from HEAVENLY ECHOES MINISTERS
Listen to HEAVENLY ECHOES MINISTERS Kuasi MP3 song. Kuasi song from album Mbona Tujigambe is released in 2023. The duration of song is 00:06:04. The song is sung by HEAVENLY ECHOES MINISTERS.
Related Tags: Kuasi, Kuasi song, Kuasi MP3 song, Kuasi MP3, download Kuasi song, Kuasi song, Mbona Tujigambe Kuasi song, Kuasi song by HEAVENLY ECHOES MINISTERS, Kuasi song download, download Kuasi MP3 song