
Ukuta wa Jeriko
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Ukuta wa Jeriko - Kurasini SDA Choir
...
Bwana twataka njia kwenda ng'ambo mbele yetu kuna vikwazo vingi, jeshi la Bwana limeshapanga vita lataka kuvuka Makedonia,kama Paulo na Sila waliomba lango la gereza likafunguka.
Ukuta wa Yeriko ulibomoka kwa nguvu za Mungu, tutakaa kimya Bwana atapigana ukuta utasambaratika nahodha wetu yuko mbele njia nyeupe tupite, jina la Yesu ni kama ngao kwenye vita twataka kuvuka watu wanaangamia.
Mbiu imelia jeshi vitani, Uria amerudishwa nyumbani, Uria kwa kinywa chake akasema talalaje jeshi liko vitani, fungua njia Bwana tusonge mbele yowe limelia kwapambazuka.
(Ukuta wa Yeriko ulibomoka kwa nguvu za Mungu, tutakaa kimya Bwana atapigana ukuta utasambaratika nahodha wetu yuko mbele njia nyeupe tupite, jina la Yesu ni kama ngao kwenye vita twataka kuvuka watu wanaangamia.
Mbiu imelia jeshi vitani) *5
Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Ukuta wa Jeriko MP3 song. Ukuta wa Jeriko song from album Ukuta wa Jeriko is released in 2010. The duration of song is 00:04:31. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Ukuta wa Jeriko, Ukuta wa Jeriko song, Ukuta wa Jeriko MP3 song, Ukuta wa Jeriko MP3, download Ukuta wa Jeriko song, Ukuta wa Jeriko song, Ukuta wa Jeriko Ukuta wa Jeriko song, Ukuta wa Jeriko song by Kurasini SDA Choir, Ukuta wa Jeriko song download, download Ukuta wa Jeriko MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Sherizlove
kazi nzuri xana mungu awabariki muwe na afya njema, tuendelee kumsifu na kumwabudu katika roho na kwel asanteni sana . mbarikiwe
mesh asienwa
lovely
Rweyemamu Didace
tafakari nzuri!, mbarikiwe sana.
it'z bonny
kazi nzuri xana mungu awabariki muwe na afya njema, tuendelee kumsifu na kumwabudu katika roho na kwel asanteni sana . mbarikiwe
asante sana