- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Upendo - Ambassadors of Christ Choir
...
Instrumental
kuna niyafikiriayo, mambo yaliyo muhimu,
tuwezayofanya, tena tutayathamani kubwa,
Lakini katika yote,iko majaribu pita yoteeeee
yote tunalohitaji,ni upendo wa kweli,msingi wa mengine yoteeee
Naweza toa mali nyingiiiiii, hata kuitoa nafsi yanguuuu,
ili masikiniiiii,waweze kupata mahitajiiii
Niwapo na talanta nyingiiii,lakini sina upendoooo,
hayo yote ni bure,ebu tufanye upendo,nambari moja maishaniiiiii
pambio
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambassadors of Christ Choir
Listen to Ambassadors of Christ Choir Ni Upendo MP3 song. Ni Upendo song from album Yatupasa Kushukuru is released in 2023. The duration of song is 00:05:01. The song is sung by Ambassadors of Christ Choir.
Related Tags: Ni Upendo, Ni Upendo song, Ni Upendo MP3 song, Ni Upendo MP3, download Ni Upendo song, Ni Upendo song, Yatupasa Kushukuru Ni Upendo song, Ni Upendo song by Ambassadors of Christ Choir, Ni Upendo song download, download Ni Upendo MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Colya11
Edema Roggers Wesley
its a good song
@Irenebabydas
ni Upendo
Old is Gold always [0x1f623]