- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mavuno - HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA
...
Yesu ametuita Kila mmoja ili tujitolee kufanya kazi yake mavuno ni mengi shambani mwa Bwana wavunaji ndio wachache Twendeni tukavune tukiyaweka tayari*2 Ni nani atakaye fanya kazi hii unapo Kaa ukilalamika ni nani atakaye fanya kazi hii unapo Kaa uki nu ngunika laiti ungejua kwamba muda ume yoyoma hungepoteza wakati laiti ungejua kwamba muda ume yoyoma ungewacha ulegevu Twendeni tukavune
Similar Songs
More from HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA
Listen to HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA Mavuno MP3 song. Mavuno song from album MWANAMKE FISI is released in 2022. The duration of song is 00:05:01. The song is sung by HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA.
Related Tags: Mavuno, Mavuno song, Mavuno MP3 song, Mavuno MP3, download Mavuno song, Mavuno song, MWANAMKE FISI Mavuno song, Mavuno song by HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA, Mavuno song download, download Mavuno MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Collins Barasaxyn66
Danizy006%
our responsibilities
Lilandxwin
nice one
markzyfryo8
very encouraging
Stephen inkn4
praise God emen
[0x1f641][0x1f641]nice