
Sauti Yangu Bado in Nguvu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2009
Lyrics
Sauti Yangu Bado in Nguvu - Kurasini SDA Choir
...
Sauti yangu bado ina nguvu, naweza kutangaza injili
Najua wakati utafika, sitaweza imba tena x2 .
Najua wakati utapofika
Nitanyamaza kimya
Sauti yangu itatoweka,
nitaporudi mavumbini
Nitawezaje kunyamaza kimya,
sauti yangu bado ina nguvu x2.
see lyrics >>
Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Sauti Yangu Bado in Nguvu MP3 song. Sauti Yangu Bado in Nguvu song from album Jerusalem is released in 2009. The duration of song is 00:04:06. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Sauti Yangu Bado in Nguvu, Sauti Yangu Bado in Nguvu song, Sauti Yangu Bado in Nguvu MP3 song, Sauti Yangu Bado in Nguvu MP3, download Sauti Yangu Bado in Nguvu song, Sauti Yangu Bado in Nguvu song, Jerusalem Sauti Yangu Bado in Nguvu song, Sauti Yangu Bado in Nguvu song by Kurasini SDA Choir, Sauti Yangu Bado in Nguvu song download, download Sauti Yangu Bado in Nguvu MP3 song
Comments (14)
New Comments(14)
happiness kyungu
Magreth Kweyacn8vj
mungu awabarki
Jemadpmd9
The best warning song ever…!!! Open your mind dear.
Samliz7x2oq
Mungu atusaidie tusinyamaze kimya tukiwa bado na nguvu,kurasini mbarikiwe
fatuma ndeka
naupenda sana huu wimbo haunikinai[0x1f623][0x1f623][0x1f60e][0x1f60e]
l love this song much it touches my heart ❤
148857918
sauti yang bado ina nguvu naweza tangaza injili ya Bwana nikiwa hai
Kimitei leonard
hii nyimbo sauti yangu inanikuza sana
Boaz Monda
Very encouraging praise God while living still brethren[0x1f60e]
Emmy Msemo
Nakupenda Sana wimbo
Agness Charlesfkfpp
wimbo mzuri sana
Rosec Msaka
mungu na atubarik sote
Mbarikiwe