
Mtanitafuta Pande Zote
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Mtanitafuta Pande Zote - Kurasini SDA Choir
...
Mtanitafuta pande zote bali hamtaniona, lango la rehema litafunguwa nanyi hamtaniona.
Bado kitambo hamtaniona kondoo bila mchunga,
jifungeni nira yangu, nira yangu ni laini, mzigo wangu mwepesi nitafutemi Sasaa, asema bwana.
Mtanitafuta hekaluni Wala hamtaniona mtakapo kimbilia milimani Wala hamtaniona
Bado kitambo tu hamtaniona,kondoo bila mchunga jifungeni nira yangu, nira yangu ni laini, mzigo wangu ni mwepesi, nitafutemi sasa, asema bwana
Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Mtanitafuta Pande Zote MP3 song. Mtanitafuta Pande Zote song from album Mtanitafuta Pande Zote is released in 2020. The duration of song is 00:04:47. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Mtanitafuta Pande Zote, Mtanitafuta Pande Zote song, Mtanitafuta Pande Zote MP3 song, Mtanitafuta Pande Zote MP3, download Mtanitafuta Pande Zote song, Mtanitafuta Pande Zote song, Mtanitafuta Pande Zote Mtanitafuta Pande Zote song, Mtanitafuta Pande Zote song by Kurasini SDA Choir, Mtanitafuta Pande Zote song download, download Mtanitafuta Pande Zote MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
175351148
Thomas Homestore
this song makes me cry
young boe msalilwa
ntakupendeni daima kurasin yangu
NJOO WASAP NIKUELEKEZE BURE NAMNA YA KUTUMIA SIMU YAKO KUKUINGIZIA PESA ELF20 HADI ELF50 KILA SIKU NO 0748268301