- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nifundishe - Ambassadors of Christ Choir
...
Yesu nakuja kwako niongozwe nawe
pokea roho yangu niwe wako kwel
niwe rohoni mwako ili nifanane nawe
wee tegemeo langu bwana sina mwingine
nifundishe kupenda na mapenzi yako
nifundishe kukuamini niwe ndani mwako ×2
mimi ni mpotevu nlikua mbali
sikua na tumaini mimi nlikua mwouvu
sasa bwana narudi naja kama nlivo
naomba nipokee niwe wako bwana
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambassadors of Christ Choir
Listen to Ambassadors of Christ Choir Nifundishe MP3 song. Nifundishe song from album Kwetu Pazuri is released in 2023. The duration of song is 00:05:01. The song is sung by Ambassadors of Christ Choir.
Related Tags: Nifundishe, Nifundishe song, Nifundishe MP3 song, Nifundishe MP3, download Nifundishe song, Nifundishe song, Kwetu Pazuri Nifundishe song, Nifundishe song by Ambassadors of Christ Choir, Nifundishe song download, download Nifundishe MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Jovana John
nice song be blessed
Isabera Siro
@domtillakemunto:i love it
domtillakemunto
nice song be blessed
you too