- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Lelemama - HEAVENLY ECHOES MINISTERS
...
Walipokwisha kuihubiri injili katika mji ule na kuwapata wanafunzi wengi wakarejea paka ristra na ikonio na antokia wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwaonya wawe na imani ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme ufalme wa mungu kwa njia ya dhiki nyingi X2
Sio kama lelemama kuingia mbinguni kwa bwana dhiki na malumbano ulimwenguni mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo mwenzangu usichoke mtu asifadhaishe na dhiki hizi kwa muda kila mmoja kwa zamu yake habari za kulalamika kwangu nitawekewa juu lawama zangu
Tangu hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu wenye nguvu wauteka njooni kwake ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo jitieni nira yake bwana mjifunze kwake kwa kuwa yeye mpole maana kristo mkombozi naye aliteswa kwa ajili ajili yetu sasa tufuate nyayo zake X2
Similar Songs
More from HEAVENLY ECHOES MINISTERS
Listen to HEAVENLY ECHOES MINISTERS Lelemama MP3 song. Lelemama song from album Lele Mama is released in 2024. The duration of song is 00:06:10. The song is sung by HEAVENLY ECHOES MINISTERS.
Related Tags: Lelemama, Lelemama song, Lelemama MP3 song, Lelemama MP3, download Lelemama song, Lelemama song, Lele Mama Lelemama song, Lelemama song by HEAVENLY ECHOES MINISTERS, Lelemama song download, download Lelemama MP3 song