Nimekukosea Mungu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimekukosea Mungu - HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA
...
Nimekukosea mungu,kwa vitendo nazo fikira zangu ninakusihi eer mungu wangu nirehemu nisipotee.. Nimetangatanga katika dhambi na kusahau maagizo yako,maisha yangu yananishangaza nalalama kama wenye dhambi.(nimegundua mwokozi wangu bila wewe nitapotea) ×2
Nimekukosea mungu,kwa vitendo nazo fikira zangu ninakusihi eer mungu wangu nirehemu nisipotee.. Nimetangatanga katika dhambi na kusahau maagizo yako,maisha yangu yananishangaza nalalama kama wenye dhambi.(nimegundua mwokozi wangu bila wewe nitapotea) ×2
Mwokozi wangu naja kwako nimelemewa na dhambi zangu,nioshwe tena kwa damu yako mimi mfungwa wa dhambi ×2
Upendo wa dunia umekita mizizi(katika maisha yangu)......×2
Moyoni mwangu natamani kutenda mema lakini mwili ni dhaifu,ninapopanga kutenda mazuri najikuta natenda maovu..
see lyrics >>Similar Songs
More from HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA
Listen to HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA Nimekukosea Mungu MP3 song. Nimekukosea Mungu song from album MWANAMKE FISI is released in 2022. The duration of song is 00:04:26. The song is sung by HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA.
Related Tags: Nimekukosea Mungu, Nimekukosea Mungu song, Nimekukosea Mungu MP3 song, Nimekukosea Mungu MP3, download Nimekukosea Mungu song, Nimekukosea Mungu song, MWANAMKE FISI Nimekukosea Mungu song, Nimekukosea Mungu song by HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA, Nimekukosea Mungu song download, download Nimekukosea Mungu MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Numbwa Wilfred
Liam ryeen
Amen
sieurshelby
Amina
irenef8ebp
moyon mwangu nataman kutenda mema lakini mwili ni dhaifu ninapotamani kutenda mazuri najikuta natenda mbaya the best line in this song[0x1f629]
linet vbqau
Glory be to God
Faridarwhcc
thankstoGod
cynthia matera
amina
Mkama TheGiant
Amina
english lyrics please from zambia